AVRAM GRANT APEWA KAZI ZAMBIA
Mkufunzi wa zamani wa klabu ya chelsea Avram Grant sasa amepewa kazi ya kuwa mkufunzi mkuu wa timu ya taifa ya Zambia. Mkufunzi huyo mwenye umri wa miaka 67 sasa anatarajiwa kuipeleka Zambia katika anga za ushindani wa ubingwa wa afrika baada ya kuonekana kuwa na uzoefu ikizingatiwa kwamba amekuwa mkufunzi mkuu wa timu ya […]
AVRAM GRANT APEWA KAZI ZAMBIA Read More »



