MICHEZO YA SHULE ZA UPIKI UKANDA WA PWANI YARINDIMA
Mashindano ya shule za upili katika hatua ya mkoa wa Pwani yameingia siku yake ya pili hii leo katika mji wa Malindi kaunti ya Kilifi. Michezo ya Basket Ball inarindima katika shule ya upili ya Barani, riadha zikifanyika katika shule ya upili ya wavulana ya Malindi High pamoja na michezo mingine ikiwemo mpira wa magongo, […]
MICHEZO YA SHULE ZA UPIKI UKANDA WA PWANI YARINDIMA Read More »



