Janet Mumbi

AMASON KINGI NDIYE SPIKA MPYA KATIKA BUNGE LA SENETI

Sasa ni rasmi kuwa Ammason Jeffa Kingi ndiye spika wa bunge la seneti. Ammason Jeffa Kingi amepata jumla ya kura 46 kutoka kwa maseneta walioshiriki upigaji kura. Licha ya wajumbe wanaoegemea upande wa azimio la umoja kutaka zoezi hilo liahirishwe mbali na swala kuwa mwaniaji wao wa wadhfa huo Kalonzo Musyoka kujiondoa kwenye kipute hicho. […]

AMASON KINGI NDIYE SPIKA MPYA KATIKA BUNGE LA SENETI Read More »

SHEIKH OMAR TWAHA AWATAKA WABUNGE WA AZIMIO KUUNGANA PAMOJA

Kiongozi wa chama cha wiper katika kaunti ya mombasa Sheikh Omar Twaha amewashinikiza wabunge wa Azimio la Umoja One Kenya katika bunge la kitaifa na lile la seneti kuhakikisha wanaungana kwa pamoja na kuwachagua viongozi wa mrengo huo wanaowania wadhifa wa uspika. Sheikh Twaha ameweka wazi kuwa mrengo wa Azimio umemuidhinisha aliyekuwa spika Kenneth Marende

SHEIKH OMAR TWAHA AWATAKA WABUNGE WA AZIMIO KUUNGANA PAMOJA Read More »

KAMISHNA WA KWALE AWAONYA WENYEJI DHIDI YA KUNYAKUA ARDHI ZANAZOMILIKIWA NA SERIKALI

Kamishna wa kaunti ya Kwale Gideon Oyagi amewaonya wakaazi wanaonuia kunyakua ardhi zinazomilikiwa na serikali akisema watakaopatikana watakabiliwa kwa mujibu wa sheria. Akizungumza katika kaunti ndogo ya Shimba Hills kaunti ya Kwale, Oyagi amesema kwa sasa wakaazi wengi wa eneo hilo wamekuwa wakidumisha ushirikiano na serikali ya kaunti kwa kulinda ardhi zinazomilikiwa na serikali. Oyagi

KAMISHNA WA KWALE AWAONYA WENYEJI DHIDI YA KUNYAKUA ARDHI ZANAZOMILIKIWA NA SERIKALI Read More »