Paps Mkare

BARNABA KORIR ASHAURI SERIKALI KUWEKEZA KATIKA VIWANJA

Mwenyekiti wa Riadha kaunti ya Nairobi Barnaba Korir ameshauri serikali mpya ya rais William Ruto kuwekeza sana kwenye michezo hasa ujenzi wa viwanja jambo ambalo litasaidia makuzi ya michezo katika taifa hili kwa jumla. Aliyasema hayo wakati ambapo taifa hili lilinyimwa nafasi ya kuandaa mashindano ya riadha ya mwaka 2025 kutokana na viwanja visvyo na […]

BARNABA KORIR ASHAURI SERIKALI KUWEKEZA KATIKA VIWANJA Read More »

CHARLES OTIENO AHOFIA JUHUDI ZAO KUHARAMISHWA NA FKF

Mkufunzi mkuu wa klabu ya APS Bomet Charles Odera ameeleza wasiwasi wake kwamba huenda FKF ikakosa kuitambua klabu hiyo iliyopanda daraja hadi ligi kuu ya KPL. Hii ni baada ya taarifa ya awali iliyotolewa na katibu mkuu wa shirikisho hilo Barry Otieno kuwa wanaporejea katika nyadhifa zao hawatatambua kazi iliyofanywa na kamati ya mpito wakihoji

CHARLES OTIENO AHOFIA JUHUDI ZAO KUHARAMISHWA NA FKF Read More »

NICK MWENDWA AREJEA KATIKA OFISI YAKE YA KANDANDA HOUSE

Rais wa shirikisho la soka la FKF Nick Mwendwa ambaye amerejea katika ofisi yake ya Kandanda House iliyoko Kasarani, kaunti ya Nairobi baada ya kufungwa kwa ofisi hizo kwa kipindi cha miezi 11. Amesema kuwa kwa sasa wanalenga kufanya mikutano na viongozi wa vilabu vya soka nchini Kenya kwenye mazungumzo ambayo yatasaidia taifa hili kuondolewa

NICK MWENDWA AREJEA KATIKA OFISI YAKE YA KANDANDA HOUSE Read More »