Janet Mumbi

VISA VITATU VYA MAUJI KWA TUHUMA ZA UCHAWI HURIPOTIWA KILA SIKU KATIKA ENEO LA MALINDI

Wanaharakati mbalimbali wa kutetea haki za kibinadam eneo la Malindi kaunti ya Kilifi jana walishirikiana na Lulu fm, kwenye hafla ya maadhimisho ya siku ya amani ulimwenginu kauli mbiu ikiwa “Uzee si Uchawi”. Wakizungumza na wanahabari katika shughuli hiyo, mwenyekiti wa masuala ya amani katika shirika la County Women Peace and Security, Merab Shibuyanga, Warda

VISA VITATU VYA MAUJI KWA TUHUMA ZA UCHAWI HURIPOTIWA KILA SIKU KATIKA ENEO LA MALINDI Read More »

WAKENYA WAPONGEZWA KWA KUDUMISHA AMANI WAKATI WA UCHAGUZI

Shirika la STRICHERS eneo la  Changamwe kaunti ya Mombasa limewapongeza wakenya kwa kudumisha amani kabla, wakati na baada ya uchaguzi mkuu nchini. Akiongea katia hafla ya kuadhimisha siku ya amani ulimwenguni iliyofanyika kwenye kaunti ndogo ya Changamwe afisa mkuu katika shirika hilo Evans Ouma amesema uchaguzi mkuu wa mwaka huu unapaswa kuigwa kutokana na jinsi

WAKENYA WAPONGEZWA KWA KUDUMISHA AMANI WAKATI WA UCHAGUZI Read More »