Tonny Ngala

MKURUGENZI MKUU WA IDARA YA UPELELEZI GEORGE KINOTI AMEJIUZULU.

Mkurugenzi mkuu wa idara ya upelelezi nchini DCI George Kinoti amewasilisha rasmi barua ya kujiuzulu katika nafasi hiyo ya uongozi. Haya ni kwa mujibu wa rais Dktr William Kipchirchi Arap Samoei Ruto, ambaye amesema kuwa sasa idara ya polisi nchini inapaswa kuteua atakeshikilia nafasi hiyo, kabla ya kupata yule atakekabidhiwa nafasi hiyo rasmi baada ya […]

MKURUGENZI MKUU WA IDARA YA UPELELEZI GEORGE KINOTI AMEJIUZULU. Read More »

GARETH SOUTHGATE ALAUMU KIKOSI CHAKE KWA KUANDIKISHA MATOKEO HASI

Mkufunzi wa timu ya taifa ya Uingereza, Gareth Southgate, amekitaka kikosi chake kuonyesha uwezo na kiwango zaidi kwenye mechi na mashindano yajayo. Kocha Southgate amesema hayo  wakati akizungumzia maandalizi ya mchezo wa mwisho wa Ligi ya Mataifa Ulaya dhidi ya Ujerumani mchezo utakaochezwa siku ya leo. Uingereza  walishuka daraja kwenye mechi za Ligi ya Mataifa

GARETH SOUTHGATE ALAUMU KIKOSI CHAKE KWA KUANDIKISHA MATOKEO HASI Read More »

ELIUD KIPCHOGE AVUNJA REKODI YAKE MWENYEWE BERLIN

Bingwa wa dunia katika mbio za masafa marefu, Eliud Kipchoge hapo aliweka rekodi mpya baada ya kukamilisha mbio za marathon za kilomita 42 ndani ya masaa 2.01.9 rekodi ambayo anajivunjia yeye mwenyewe rekodi aliyoiweka miaka minne iliyopita. Kipchoge mwenye umri wa miaka 37 sasa ndio bingwa wa dunia katika mbio za Berlin marathon akipungyuza sekunde

ELIUD KIPCHOGE AVUNJA REKODI YAKE MWENYEWE BERLIN Read More »