Tonny Ngala

BUNGE LA KAUNTI YA TANA RIVER LA TENGA MGAO WA KUKABILIANA NA UHARIBIFU WA MAZINGIRA.

Jumla ya shilingi milioni hamsini zimetengwa na serikali ya kaunti ya Tana River, ili kukabiliana na athari za mabadiliko ya hali ya anga. Akizungumza na wananchi katika eneo hilo, afisa wa mazimgira George Kasi ameelezea kuwa hatua hiyo imejiri baada ya bunge hilo, kuidhinisha sheria itakayo tumika katika kutekeleza suala hilo. Amesema kuwa uongozi wa […]

BUNGE LA KAUNTI YA TANA RIVER LA TENGA MGAO WA KUKABILIANA NA UHARIBIFU WA MAZINGIRA. Read More »

SHULE YA MSINGI YA BANDACHO ENEO BUNGE LA MAGARINI KAUNTI YA KILIFI YAANDIKISHA MATOKEO BORA ZAIDI YA KCPE.

Mwalimu mkuu wa shule ya msingi ya Bandacho kaunti ndogo ya Magarini kaunti hii ya Kilifi, Constance Kanze ameeleza furaha yake baada ya shule hiyo, kuandikisha matokeo bora katika mtihani wa kitaifa wa KCPE. Katika mazungumzo ya kipekee na meza yetu ya habari, mwalimu huyo amesema kuwa jumla ya wanafunzi 17, walipata alama 400 na

SHULE YA MSINGI YA BANDACHO ENEO BUNGE LA MAGARINI KAUNTI YA KILIFI YAANDIKISHA MATOKEO BORA ZAIDI YA KCPE. Read More »

RAIS WILLIAM RUTO AAHIDI KUKABILIANA NA WAFISADI SERIKALINI.

Rais William Ruto amesema kuwa serikali yake itajitahidi kuhakikisha kuwa inapiga vita ufisadi katika idara na afisi mbali mbali za serikali. Akizungumza katika kikao na makamishna wa kaunti zote 47 nchini, Rais amewahakikishia wakuu hao wa idara ya usalama, kuwa kama kiongozi wa taifa, atahakikisha wananchi wananufaika na huduma na misaada mbali mbali, inayotolewa na

RAIS WILLIAM RUTO AAHIDI KUKABILIANA NA WAFISADI SERIKALINI. Read More »