ONANA AACHANA NA SOKA LA KITAIFA
Mlinda lango wa timu yataifa ya camerron Andre Onana ametangaza kustafu rasmi kutoka majukumu ya timu ya taifa baada ya kukosana na mkufunzi mkuu wa timu hiyo Rigobert Song Kipa huyo nambari moja wa klabu ya Inter Milan mwenye umri wa miaka 26 hajapeana sababu kamili za kustafu kwake ila achia ujumbe wakusema kwamba safari […]
ONANA AACHANA NA SOKA LA KITAIFA Read More »


