VINICIUS JR ASEMA ATAFANYA BIDII MARA 10 KUSHINDA TUZO MSIMU HUU

Vinicius Jr ambaye ni Mshambuliaji wa timu ya taifa Uhispania anasema analenga kujituma mara kumi zaidi ya alivyofanya msimu jana ili kuandikisha tuzo kubwa msimu huu.

Ameyasema hayo baada ya msimu jana Vini Jr kukosa kushinda tuzo za Ballon Dior zilizofanyika usiku wa kuamkia leo.

Rodri, kiungo wa klabu ya Manchester City na Uhispania ndio alitangazwa kwa mshindi wa Tuzo hiyo katika jiji la Paris Ufaransa.

Vinicius Jr amepata sapoti ya baadhi ya wachezaji mitandaoni waliokuwa wanaodhani yeye ndio angeshinda tuzo hilo kufuatia mafanikio aliyokuwa nayo msimu uliopita.

Klabu yake Real Madrid iligomea tuzo hizo kwa kile wanachodhani hazikuwa za haki