DROO YA UEFA 16 YATOKA

Droo ya raundi ya 16 bora ya ligi ya klabu bingwa ulaya imefanyika rasmi hii leo nchini Swtserland na FC Porto wamepangwa na Arsenal huku Napoli wakiwa wamepangwa na vijana wa Xavi Hernandez Barcelona.

Paris SG wamepangwa na Real Sociodad, Atletico Madrid wakipangwa na Inter Milan. PSG watachuana na Borrusia Dortmund katika hatua hii ya 16 huku Lazio wakiwa wamepangwa na Bayern Munich.

Copenhagen wamepangwa na Manchester City ya Pep Guardiola na hatimaye  vijana wa Carlo Ancellotti Real Madrid wamepangwa na RB Leipzig.

Mechi za hatua ya 16 raundi ya kwanza zitaanza rasmi mwezi February tarehe 13.