ONANA AACHANA NA SOKA LA KITAIFA

Mlinda lango wa timu yataifa ya camerron Andre Onana ametangaza kustafu rasmi kutoka majukumu ya timu ya taifa baada ya kukosana na mkufunzi mkuu wa timu hiyo Rigobert Song

Kipa huyo nambari moja wa klabu ya Inter Milan mwenye umri wa miaka 26 hajapeana sababu kamili za kustafu kwake ila achia ujumbe wakusema kwamba safari yake na timu ya taifa imefika ukingoni.

Kulingana na ripoti kutoka kwa wadau wa soka ni kwamba walikosana na mkufunzi mkuu Rigobert Song kutokana tofauti za kimbinu hasa baada ya kupoteza mtanange dhidi ya Switsterland.