MWAKA MBOVU KWA RIADHA NCHINI, WACHACHE WANG’AA

Mwaka wa 2022 ndio mwaka uliokuwa mbovu katika riadha ya kenya kutokana na matokeo ya mchezo wa riadha katika historia. Hata hivyo wanariadha asili ya Kenya wanaoakilisha mataifa ya nje wamezidi kuonyesha ubabe wao wakishindanishwa na baadhi ya wanariadha raia wa Kenya.

Takwimu zinasema kwamba hii ndio mara ya kwanza kabisa tangia kuwahi kutokea namna hiyo katika mashindano ya Olimpiki ya Mexico mwaka 1986.

Mwaka huu Kenya imesajili medali kumi pekee ikiwemo medali mbili za dhahabu, tano za fedha pamoja na medali tatu za shaba.

Hata hivyo kuna baadhi ya wanariadha kutoka Kenya ambao wameandikisha historia katika ulimwengu wa riadha akiwemo Eliud Kipchoge alievunja rekodi yake mwenyewe katika riadha za Berlin, Angela Okutoyi aliyefanya vyema kwenye tenisi, lakini pia Kelvin Kiptum katika riadha za Valencia Marathon ambako alipata ubingwa.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *