MBUNGE WA MALINDI KAUNTI YA KILIFI AMINA MNYAZI AORODHESHWA KATI YA WABUNGE 50 BORA NCHINI.
Wakaazi wa Malindi kaunti ya Kilifi wamepongeza utafiti wa kampuni ya Infortack ambao umemuorodhesha mbunge wa Malindi Amina Mnyazi kati ya 50 bora katika taifa hili. Mnyazi alipata asilimia 58 ya utendakazi bora katika taifa hili, utafiti ambao ulizingatia pakubwa utumizi wa fedha za hazina ya NG-CFD katika eneo bunge hili la Malindi. Kulingana na […]



