HABARI

BAADHI YA MABAHARIA ENEO LA SHELLA MJINI MALINDI WAENDELELEA KUHANGAIKA

Licha ya jamii eneo la Shella mjini Malindi kaunti ya Kilifi kuchangia pakubwa katika upatikanaji wa ushuru wa kitaifa kupitia kwa raslimali za baharini, baadhi ya mabaharia eneo hilo la Shella wameendelea kupitia changamoto nyingi katika maisha yao. Haya ni kwa mujibu wa mwakilishi wa wadi ya Shella mjini Malindi kaunti ya Kilifi, Twahir Abdulkarim […]

BAADHI YA MABAHARIA ENEO LA SHELLA MJINI MALINDI WAENDELELEA KUHANGAIKA Read More »

BAADHI YA WAKAZI WA KILIFI MJINI WASEMA MTAALA WA CBC ULIPASWA KUPIGWA MSASA KABLA YA KUTEKELEZWA

Baadhi ya wazazi Kilifi Mjini kaunti ya Kilifi  wamelalamika kuwa mtaala wa umilisi wa CBC bado ulipaswa kuangaziwa kwa kina kabla ya kutekelezwa. Wazazi hao wamesema kuwa serikali haijajipanga kufanikisha mtaala huu hasa katika shule za mashinani kwani bado zina miundo msingi duni. Kufuatia hilo wazazi hao wanahofia kuwa huenda kukawa na wingi wa changamoto

BAADHI YA WAKAZI WA KILIFI MJINI WASEMA MTAALA WA CBC ULIPASWA KUPIGWA MSASA KABLA YA KUTEKELEZWA Read More »

KATIBU WA KUPPET KAUNTI YA KILIFI AMTAJA MAGOHA KAMA KIONGOZI ALIYEIMARISHA SEKTA YA ELIMU

Katibu wa muungano wa   walimu KUPPET kaunti ya KIlifi, Risper Awinja amemtaja aliyekuwa Waziri wa elimu nchini Prof. George Magoha kama kiongozi ambaye alichangia kwa asilimia kubwa kuboresha sekta ya elimu nchini. Risper ambaye ameeleza kusikitishwa na Kifo cha Magoha ambacho kilitokea jana Jioni kutokana na kile kinachosemekana kusababishwa na Mshtuko wa moyo, amesema Magoha

KATIBU WA KUPPET KAUNTI YA KILIFI AMTAJA MAGOHA KAMA KIONGOZI ALIYEIMARISHA SEKTA YA ELIMU Read More »