TOM LANGO KUWANIA FKF KILIFI
Mwenyekiti wa FKF katika eneo bunge la Malindi kaunti ya Kilifi Tom Lango ametangaza azma yake ya kupigania kiti cha uenyekiti wa shirikihso la soka la fkf kusimamia kaunti nzima ya kilifi katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kusimama mwaka huu. Akizungumza na Lulu FM kupitia njia ya simu Lango amesema analenga kuleta sura mpya ya soka […]
TOM LANGO KUWANIA FKF KILIFI Read More »



