Elvis Baya

Al Ahly na ES Tunis Zatawala, Simba SC Ikipambania Afrika Mashariki kwenye Top 10 ya CAF

KUELEKEA msimu mpya wa CAF, Al Ahly imesalia kileleni mwa orodha ya Klabu bora bara Afrika, huku klabu ya SIMBA SC ikiwa klabu ya pekee Afrika Mashariki kutinga kwenye listi hiyo. Kumeshuhudiwa ushindani mkubwa kwenye orodha hiyo, huku ES Tunis ya Tunisia ikipanda kutoka nafasi ya tatu hadi ya pili, na kuipiku Klabu ya Rulani

Al Ahly na ES Tunis Zatawala, Simba SC Ikipambania Afrika Mashariki kwenye Top 10 ya CAF Read More »