Kocha wa timu ya taifa ya Ufaransa Thierry Herny wa kikosi cha wachezaji wasiozidi umri wa miaka 21 ametangaza rasmi kuwa ameachana na timu hiyo.
Kocha huyo aliyeisaidia Ufaransa ametangaza kukatisha mkataba wake baada ya mashindano ya Olimpiki kumaliza katika fainali ambapo walilemewa na Uhispania kwenye matuta.
Mkataba wa Henry ulifaa kuendelea mpaka mwaka 2025 lkn shirikisho la soka Ufaransa limetangaza kuwa amekatisha mkataba na sababu zake binafsi.

