MAFUNZO YA MAREFA YAPIGIWA DEBE ,ASHINANI KUIMARISHA SOKA

Mafunzo ya marefa ambayo yamekuwa yakiendelea mashinani ni jamboa ambalo linahimizwa sana na washikadau wa michezo mashinani katika mkoa wote wa pwani nah ii inatajwa kama njia moja ya kuimarisha mchezo huo miongoni mwa vijana.

Akizungumza na Tama la spoti kwa njia ya simu, mwenyekiti wa fkf tawi la kaunti ya Kwale bwana Hamisi Mwakoja amesema kwamba juhudi hizo zitasaidia kuimarisha soka pamoja na kuongeza ajira kwa vijana ambao wanapenda michezo.

mani yake na uongozi wa gavana Fatuma achani katika kuendeleza na kuimarisha michezo katika kaunti hiyo na sasa kama wadau wa soka wanalenga kufanya vikao na kuona ni mikakati gani watatumia kuoboresha michezo mashinani.