Janet Kilalo

SURRENDER ALL TO GOD

What is it that you are holding in your heart, it is pressing you down, ebbing out your energy, zeal, motivation, pushing you to the wall? There are times when situations push us to cry and it is not about shedding tears but crying out in surrender and in prayer for help. David cried out […]

SURRENDER ALL TO GOD Read More »

BAADHI YA VIONGOZI WA KAUNTI YA TANA RIVER WAITAKA SERIKALI KUU KUKATAA MISAADA KUTOKA MATAIFA YA NJE

Naibu kiongozi wa wengi katika bunge la kaunti ya Tana River Hamid Babusa na mwakilishi wa wadi mteule Lucy Diramo wameitaka serikali kuu kukataa misaada kutoka kwa mataifa ya nje au mashirika ambazo zinakuja na masharti ya kukubali mapenzi ya Jinsia moja. Kauli zao zinajiri baada ya bunge la kaunti ya Tana River kupitisha hoja

BAADHI YA VIONGOZI WA KAUNTI YA TANA RIVER WAITAKA SERIKALI KUU KUKATAA MISAADA KUTOKA MATAIFA YA NJE Read More »

GAVANA ANDULSWAMAD SHARIFF NASSIR AMEAHIDI KUWATETEA WENYEJI WALIOFURUSHWA KATIKA NYUMBA ZA KUPANGA ENEO LA BUXTON

Gavana wa kaunti ya Mombasa Abdulswamad Shariff Nassir ameahidi kuwatetea wakaazi waliofurushwa katika nyumba za kupanga eneo la Buxton kaunti ya Mombasa. Katika kikao na waandishi wa habari afisini mwake Nassir amesema amewaandikia barua washikadau wote Pamoja na afisa katika idara husika kuhakikisha wanatoa maelezo kamili kuhusiana na ombi lililotolewa na wakaazi wa nyumba hizo.

GAVANA ANDULSWAMAD SHARIFF NASSIR AMEAHIDI KUWATETEA WENYEJI WALIOFURUSHWA KATIKA NYUMBA ZA KUPANGA ENEO LA BUXTON Read More »