Tonny Ngala

BUNGE LA SENETI LAENDELEZA HOJA YA KUBANDULIWA KWA GAVANA WA KAUNTI YA MERU KAWIRA MWANGAZA.

Barua za mwaliko zinatarajiwa kutumwa kwa wote watakaowasilisha ushahidi dhidi ya kubanduliwa kwa gavana wa Meru kawira Mwangaza. Hii ni baada ya seneti kuafikiana kubuni kamati maalum ya kutathmini kubanduliwa mamlakani kwa gavana huyo ambapo barua hizo za mwaliko zitaanza kutumwa kwa wote watakaofika mbele ya kamati hiyo kuwasilisha ushahidi. Wahusika wote watakuwa na siku […]

BUNGE LA SENETI LAENDELEZA HOJA YA KUBANDULIWA KWA GAVANA WA KAUNTI YA MERU KAWIRA MWANGAZA. Read More »

WIZARA YA USALAMA WA NDANI YA WEKA MIKAKATI YA MAAFISA WA USALAMA KUDUMISHA USALAMA.

Idara ya usalama humu nchini imetangaza kuweka mikakati kabambe ya kudumisha usalama wa wakenya, hasa msimu huu wa sherehe za krismasi. Kwa mujibu wa waziri wa usalama wa ndani Kithure Kindiki, ni kuwa tayari wameweka mikakati ya kudumisha usalama, katika barabara kuu ambazo wananchi wanatumia kusafiri mashinani. Akizungumza na wanahabari ameelezea kuwa madereva watakao kuwa

WIZARA YA USALAMA WA NDANI YA WEKA MIKAKATI YA MAAFISA WA USALAMA KUDUMISHA USALAMA. Read More »

WATU WATATU WAAGA DUNIA KWENYE AJALI YA BARABARANI ENEO LA CHUMANI KAUNTI YA KILIFI.

Kamanda wa polisi Kilifi Kaskazini kaunti ya Kilifi Jonathan Koech amewataka madereva kuwa waangalifu zaidi wakati huu wa sherehe za disemba ili kuepuka ajali za barabarani. Koech pia amesisitizia wachukuzi wa umma kuhakikisha kuwa wanadumisha usalama wa abiria wao badala ya kuendekeza utovu wa nidhamu barabarani. Kauli ya Koech imejiri baada ya watu watatu kuhusika

WATU WATATU WAAGA DUNIA KWENYE AJALI YA BARABARANI ENEO LA CHUMANI KAUNTI YA KILIFI. Read More »