lulufm

WAZIRI WA ELIMU NCHINI EZEKIEL MACHOGU ATANGAZA MATOKEO YA MTIHANI WA KITAIFA KCPE.

Waziri wa elimu humu nchini Ezekiel Machogu amesema kuwa wanafunzi bora katika mtihani wa kitaifa wa KCPE ambao ni Lewis Otieno Omondi na Fwaro Makokha Robinson, wamemudu kupata jumla ya alama 431. Akitoa matokeo hayo katika ukumbi wa mtihani house kule jijini Nairobi, waziri Machogu amesema kuwa wanafunzi zaidi ya milioni 1.2 walifanya mtihani huo

WAZIRI WA ELIMU NCHINI EZEKIEL MACHOGU ATANGAZA MATOKEO YA MTIHANI WA KITAIFA KCPE. Read More »