Elvis Baya

TEN HAG ROHO MKONONI, MAN U IKIVAANA NA FULHAM

Meneja wa Manchester United Erik ten Hag ana wasiwasi timu yake “haiko tayari” kwa mechi ya kwanza ya Ligi Kuu ya Uingereza dhidi ya Fulham leo Ijumaa Agosti 16, 2024. Ten Hag amehoji kuwa wachezaji wapya waliosajiliwa Matthijs de Ligt na Noussair Mazraoui watakuwa kwenye kikosi lakini waliwasili Alhamisi pekee. Wamekuwa na nafasi finyu ya

TEN HAG ROHO MKONONI, MAN U IKIVAANA NA FULHAM Read More »