SERIKALI YA KITAIFA YATAKIWA KUKARABATI BARABARA ENEO LA GAMBA KAUNTI YA TANA RIVER.
Wizara ya uchukuzi nchini imetakiwa kukarabati barabara katika eneo la Gamba kaunti ya Tana River, msimu huu ambapo kuna shuhudiwa kiangazi eneo hilo. Kwa mujibu wa meneja wa bandari ya Lamu, mhandisi Vincent Sidai, ujenzi wa barabara hiyo unaweza kufanikishwa kwa urahisi, msimu huu wa kiangazi, kabla ya mvua kuanza kushuhudiwa. Sidai ameelezea wasiwasi wa […]
SERIKALI YA KITAIFA YATAKIWA KUKARABATI BARABARA ENEO LA GAMBA KAUNTI YA TANA RIVER. Read More »



