SEKTA YA UTALII KAUNTI YA KWALE YATARAJIWA KUANZA KUIMARIKA
Washikadau katika sekta ya utalii wameeleza matumaini ya kuimarika kwa sekta hiyo hata zaidi katika eneo la Diani kaunti ya Kwale. Washikadau hao wamesema kufikia sasa zaidi ya asilimia 40 ya watalii wamekuwa wakizuru mji huo wa kitalii katika hoteli mbalimbali licha ya kuwa bado kunashuhudiwa msambao wa virus vya Corona. Aidha wamesema kuwa wamekadiria …
SEKTA YA UTALII KAUNTI YA KWALE YATARAJIWA KUANZA KUIMARIKA Read More »