WAZAZI TANA RIVER WAHIMIZWA KUWAPELEKA WATOTO WAO KWENYE SHULE AMBAZO HAZIJAJAA WANAFUNZI

Msongamano ambao unashuhudiwa katika baadhi ya shule za upili kaunti ya Tana River unadaiwa kusababishwa na wazazi kupendelea baadhi ya shule kuliko zingine.
Haya ni kulingana na mkuregenzi wa elimu katika kaunti hiyo James Nyaga ambaye anasema licha ya kuwa kuna shule nyingi za upili zenye idadi ndogo ya wanafunzi, wazazi wamekuwa wakiwapeleka watoto wao katika shule ambazo tayari zimejaa wanafunzi.
Amesisitiza kuwa shule zote katika kaunti hiyo ziko sawa kielimu na kimiundo msingi na kuwataka wazazi kutochagua shule.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SUBSCRIBE TO OUR E- NEWSLETTER

Subscribe to our mailing list and get interesting stuff and updates to your email inbox.