VIPINDI

Amka Na Rafiki – Binti

Binti Umazi hukuletea kipindi Amka Na Rafiki kila asubuhi 6am-10am. Mziki wa kuhuisha, mada kemkem na uchambuzi wa magazeti utavipata ndaniya kipindi Amka Na Rafiki.

Changamka – Smartie

Kila siku ya wiki kuanzia 10am-2pm Smartie hukuletea kipindi changamka kinachoangazia hoja na mada za kijamii. Ni kipindi pekee kinachotoa fursa ya msikilizaji kuitisha wimbo na kuchezewa.

Lulu Drive – DK

Lulu Drive ni kipindi kinachoendeshwa na DK kila siku ya wiki kuanzia saa tisa mchana hadi saa moja jioni saa za Afrika Mashariki.

Mkao – KT

Kipindi cha mkao kinakujia kila siku ya wiki kuanzia saa moja jioni hadi saa nne usiku. Kinaangazia maswala mbali mbali ikiwemo siasa, afya, ndoa, taarifa zinazojiri, pamoja na shuhuda za kujenga na kutia moyo.

TeensConnect – J

Kipindi cha Teens Connect kinakujia kila siku ya Jumamosi kuanzia saa moja asubuhi hadi saa nne asubuhi. Kinaangazia maswali ya Trivia, roll call, mijadala ya mada mbali mbali. Teens kusema, showcase talent, reading club, Darasa101 ni segments mbali mbali za kipindi hiki.

Lulu CountDown – Smartphone

Lulu Count Down ni kipindi kinachoendeshwa na Smartphone kila Jumamosi kuanzia saa nne asubuhi hadi saa nane mchana saa za Afrika Mashariki.

Kama Vipi – Binti

Kama Vipi inakujia kila Jumamosi kuanzia saa kumi na mbili jioni hadi saa nne usiku kikiangazia maswala yanayomkumba kija wa karne ya leo.

Gospel Shangwe   -DK

Gospel Shangwe ni kipindi kinachoendeshwa na DK kila Jumapili kuanzia saa kumi na mbili asubuhi hadi saa nne asubuhi saa za Afrika Mashariki.

SUBSCRIBE TO OUR E- NEWSLETTER

Subscribe to our mailing list and get interesting stuff and updates to your email inbox.