WAKULIMA KAUNTI YA KILIFI WANADAIWA KUTOJITAYARISHA KWA SHUGHULI ZA KILIMO

Mataalamu wa maswala ya Kilimo katika kaunti ya Kilifi Mwamu Menza amesema kuwa licha ya baadhi ya maeneo kushuhudia mvua bado idadi kubwa ya wakulima hawaja jitayarisha kwa kilimo msimu huu.
Kwa mujibu wa Menza ni kuwa baadhi ya wakulima hasa katika maeneo ya Magarini bado hawajafanikiwa kutayarisha mashamba yao kutokana na ukosefu wa fedha na pembejeo.
Hata hivyo Menza amesema kuwa ipo haja ya serikali ya kaunti ya Kilifi kuwasaidia wakulima hao kwani wengi wao wanalalamikia kuathirika kwa baadhi ya shughuli zao ambazo walikua wakitegemea ili kufanikisha kilimo.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SUBSCRIBE TO OUR E- NEWSLETTER

Subscribe to our mailing list and get interesting stuff and updates to your email inbox.