VIWANGO VYA MASOMO KUIMARIKA ENEO BUNGE LA MAGARINI

Viwango vya masomo katika eneo bunge la Magarini kaunti ya Kilifi vinatarajiwa kuimarika zaidi kutokana na ujenzi wa madarasa manane na vyoo vinane katika shule ya Msingi ya Mfulani.
Kulingana na mbunge wa Magarini Michael Thoya Kingi ni mradi ambao unafadhiliwa na shirika moja la kiisalmu na unatarajiwa kukamilika miezi miwili ijayo baada ya kuanza wiki jana.
Madarasa hayo na vyoo hivyo vikikamilka kutawapa wanafunzi wa shule hiyo mazingira bora ya kusomea huku Mbunge huyo akiwarai wahisani mbali mbali na wadau kujitokeza kwa win

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SUBSCRIBE TO OUR E- NEWSLETTER

Subscribe to our mailing list and get interesting stuff and updates to your email inbox.