‘VIMELEA’ NDIO WANAOPONZA WANARIADHA WA KENYA

Rais wa Shirikisho la riadha nchini Kenya  Jackson Tuwei amefichua kuwa mzigo wa kutegemewa na jamaa, rafiki na jamii pamoja na mivutano ya kurithi mali ndizo changamoto kubwa zinazokabili wanariadha wa Kenya.

Anasema kuwa changamoto hizo zinasababisha wanariadha kuwa na msongo wa akili kwa sababu kila jamaa anataka mgao wa tuzo wanazoshinda kutoka kwa mashindano ya kimataifa.

Tuwei alikuwa akizungumza wakati wa duru ya tatu ya mbio za nyika za zilizofanyika katika eneo la Ol Kalou katika kaunti ya Nyandarua wikendi iliyopita.

 

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SUBSCRIBE TO OUR E- NEWSLETTER

Subscribe to our mailing list and get interesting stuff and updates to your email inbox.