SERIKALI KUU YADAIWA SHILINGI BILIONI 66 ZA MGAO WA FEDHA

Serikali za ugatuzi zinaidai serikali ya kitaifa jumla ya shilingi bilioni 66 za mgao wa fedha ambao ulitengewa kaunti kati ya Disemba mwaka 2020 na Machi mwaka 2021.
Mwenyekiti wa kamati ya afya, katika baraza la Magavana Prof. Anyang’ Nyong’o amesema kuwa kucheleweshwa kwa fedha za kaunti kumechangia katika kulemaza oparesheni nyingi za kaunti.
Nyong’o amesema kuwa katika kipindi cha juma moja wizara ya fedha ilitma shilingi bilioni 19.8 kwa serikali za kaunti ila bado mgao huo hautoshi kwani kwa sasa kaunti nyingi zinamalimbikizi ya madeni.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SUBSCRIBE TO OUR E- NEWSLETTER

Subscribe to our mailing list and get interesting stuff and updates to your email inbox.