Qatar wazindua nembo mpya ya Kombe la Dunia 2022

Waandaaji wa fainali za michuano ya kombe la dunia 2022 nchini Qatar wametambulisha nembo mpya yenye utamaduni wao katika jiji la Doha.

Tukio hilo limefanyika katika jumba la utamaduni wa kitaifa nchini humo katika mji mkuu wa mkoa wa kusini wa Msheireb. Nembo hiyo pia imeonyeshwa jijini Madrid, Buenos Aires na Beirut.

Wakitoa ufafanuzi wa nembo hiyo, waandaaji wa fainali hizo wamesema imetokana na skafu za pamba za kitamaduni zinazovaliwa wakati wa msimu wa baridi.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SUBSCRIBE TO OUR E- NEWSLETTER

Subscribe to our mailing list and get interesting stuff and updates to your email inbox.