PRESENTERS

Binti Umazi
Amka na Rafiki & Kama Vipi Host

Msusi nguli anayependa mitindo ya nguo na kupika.

Smartphone
Changamka & Lulu CountDown Host

Anapenda kusoma Bibilia na hangekuwa mwanahabari walimu ama uhasibu ungemfaa.

DK
Lulu Drive & Gospel Shangwe Presenter

DK anapenda kucheza na ni nguli wa ushereheshaji

KT
Producer, Programs Controller & Mkao Host

Shabiki sugu wa klabu ya Arsenal anapenda kusafiri.

Janet Mumbi
News Presenter

Shabiki sugu wa Chelsea na anapenda kusafiri pamoja na kusoma riwaya.

Hamisi Kombe
News Presenter

Nguli wa utunzi wa mashairi na anapenda uandishi wa kubuni. Ni mpenzi wa 'spoken word'.

J
Station Manager & TeensConnect Presenter

Anapenda kusoma vitabu vya kiungu na pia ni shabiki sugu wa Arsenal.

Elvis Baya
Lulu Viwanjani Host & Social Media Personnel

Anapenda kuchora, kusafiri pamoja na kutangamana. Shabiki sugu wa  'Chelsea' na hipi punde ameonekana akivaa jezi ya Arsenal.

SUBSCRIBE TO OUR E- NEWSLETTER

Subscribe to our mailing list and get interesting stuff and updates to your email inbox.