MICHAEL OLUNGA AZIDI KUNG’AA QATAR

 

Mshambulizi wa timu ya taifa harambee stars Michael Olunga aliendeleza rekodi yake  ya kufunga kwenye ligi kuu nchini Qatar, alipopachika wavuni bao la tatu kunako dakika ya 55 kwa faida ya Al Duhail, walipokuwa wakichuana na Al Rayyan siku ya jana bao ambalo liliwahikikishia ushindi wa mabao matatu bila jibu.

kwa sasa Olunga anaongoza kwenye jedwali la wafungaji bora, kufikia sasa akiwa ana magoli manane sawia na mfungaji bora msimu jana raia wa taifa la Algeria, Baghdad Bounedjah.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SUBSCRIBE TO OUR E- NEWSLETTER

Subscribe to our mailing list and get interesting stuff and updates to your email inbox.