MCK YAENDELEZA ZOEZI LA KUKUSANYA MAONI

Naibu mkurugenzi wa idara ya mafunzo ya uanahabari katika baraza la vyombo vya habari nchini MCK Christine Nguku amesema wanaendeleza zoezi la kukusanya maoni ya wanahanari na wadau wengine hukusika kuhusiana na sheria na maadili ya wanahabari.
Nguku amesema kwamba wanapania kuifanyia marekebisho sheria za uanahabari ili kuangazia sekta mbali mbali za uandishi wa habari ikiwemo ile ya mtandao.
Wakati uo huo amesema kabla ripoti hiyo kuwasilishwa bungeni ili kujadiliwa na kuidhinishwa kuwa sheria ni kwamba wataandaa ripoti kamili yenye muongozo wa uandishi wa habari baada ya kukusanya maoni hayo .

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SUBSCRIBE TO OUR E- NEWSLETTER

Subscribe to our mailing list and get interesting stuff and updates to your email inbox.