MAGAVANA KANDA YA PWANI WATAKIWA KUUNGA MKONO RIPOTI YA BBI

Changamoto imetolewa kwa magavana wote kanda ya pwani kuunga mkono ripoti ya BBI ambayo inapendekeza nyongeza ya mgao wa fedha kwa serikali za ugatuzi.

Akitoa changamoto hiyo waziri wa ugatuzi nchini Eugiene Wamalwa amesema kuwa nyongeza hiyo ya kutoka asilimia 15 hadi 35 zitahakikisha kuwa serikali za kaunti zinapata fedha za kutosha.

Katika taarifa yake kwa wanahabari kaunti ya Kwale Wamalwa amesema ni hatua ambayo inapania kufanikisha kutekelezwa kwa miradi ya maendeleo mashinani.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SUBSCRIBE TO OUR E- NEWSLETTER

Subscribe to our mailing list and get interesting stuff and updates to your email inbox.