Kilifi | Wanaoishi na ulemavu watakiwa kujiunga na makundi ya maendeleo

Wanawake, wazee, vijana sawia na watu ambao wanaishi na ulemavu wametakiwa kuhakikisha wanajiunga kwenya makundi ya maendeleo ili kufaidi na fedha ambazo huwa zinatolewa na serikali.

Haya ni kulingana na Mwakilishi wa wadi ya Mwanamwinga kaunti ya Kilifi Pascal Makanga ambaye amehoji hatua hiyo itasaidia kudhibiti hali ya umasikini katika jamii.

Ametaja swala la wanawake kujiunga katika vikundi kutawasaidia kujiwezeshwa kujiendeleza kimaisha bila kutegemea serikali au mashirika yasiyokuwa ya kiserikali.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SUBSCRIBE TO OUR E- NEWSLETTER

Subscribe to our mailing list and get interesting stuff and updates to your email inbox.