KHELIF KHALIFA ALALAMIKIA SUALA LA UKABILA NCHINI

Mwenyekiti wa shirika la kutetea haki za kibinadamu la MUHURI Khelef Khalifa amesema suala la ukabila katika taifa hili limefanya maeneo mengi nchini kubaguliwa kwenye masuala kama ya miradi ya maendeleo.
Akizungumza katika kaunti ya Lamu, Khelef amesema maeneo mbalimbali nchini yanakabiliwa na ubaguzi wa kikabila hali ambayo inaendelea kugandamiza wananchi wengi.
Aidha, Khelef ametoa mfano wa kaunti ya Lamu akidai imenyanyasika kutokana na ubaguzi wa kikabila.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *