KENYA YAUNGANA NA MATAIFA MENGINE KAUADHIMISHA SIKU YA KIMATAIFA YA YA KUZUIA VISA VYA WATU KUJITOA UHAI

Taifa la Kenya limeungana na mataifa Mengine ulimwenguni yalio wanachama wa umoja wa mataifa kuadhimisha siku ya kimataifa ya kuzia visa vya kujitoa uhai.
Kwa mujibu wa ripoti ya shirika la afya duniani WHO kila sekunde mtu mmoja hujitoa uhai ulimwenguni na katika taifa la Kenya zaidi ya watu 300 hujitoa uhai na watu elfu 800 wakijitoa uhai kila mwaka ulimwenguni.
Maadhimisho haya yanapania kuelimisha umma namna ya kujiepusha dhidi ya visa hivyo kwa kuwahimiza wananchi kujihusisha na mamba ambayo yatajenga afya ya akili.
Hii ni siku ambao iliidhinishwa rasmi mwaka wa 2003.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SUBSCRIBE TO OUR E- NEWSLETTER

Subscribe to our mailing list and get interesting stuff and updates to your email inbox.