IDARA YA MAHAKAMA YA TAKIWA KUSHIRIKIANA NA WAZEE WA MITAA KATIKA KUTATUA KESI ZA KIJAMII

Aliyekua mbunge wa Garsen Wakili Danson Buya Mungatana ametoa wito kwa kaimu jaji mkuu Philomena Mwilu, kubuni mbinu ya kumaliza kwa haraka kesi zilizo na dhamana ya shilingi elfu mia mbili kuenda chini, ili kupunguza mirundiko ya kesi katika mahakama.

Mungatana amesema ipo haja ya idara ya mahakama kushirikiana na baraza la wazee katika kaunti ya Tana River, na kaunti zengine humu nchini, ili kumaliza kesi kwa njia ya kitamaduni, na kupunguzia idara hiyo mrinduko za kesi.

Aidha Mungatana ameshauri idara ya mahakama kuwalipa wazee marupurupu wakati wa vikao vyao vya kutatua kesi, pamoja na mamuzi ya wazee kutambuliwa na mahakama ili kujenga uwiano wa kijamii.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SUBSCRIBE TO OUR E- NEWSLETTER

Subscribe to our mailing list and get interesting stuff and updates to your email inbox.