VIONGOZI WAPYA FKF WASHAURIWA KUSHIRIKIANA
Kuna umuhimu mkubwa wa viongozi waliochaguliwa wiki jana katika shirikihso la fkf tawi la kaunti ya kilifi kushirikiana kupeleka soka mbele. Ni kauli ya Collins Otieno Omol meneja wa timu ya Yanga kutoka mji wa Malindi klabu inayoshiriki katika ligi ya daraja la pili kitaifa. Anasema kaunti ya Kilifi iko na talanta chungu nzima na […]
VIONGOZI WAPYA FKF WASHAURIWA KUSHIRIKIANA Read More »



