YANGA YAIOMBA YOUNG BULLS MCHEZAJI WAO
Kocha mkuu wa klabu ya Yanga FC Collins Omol anaiomba klabu ya Young BULLS inayoshiriki katika ligi ya daraja la kwanza kitaifa kumwachilia mchezaji wao Soldeir Kaiungu ajiunge na klabu ya Yanga baadala ya kumwacha nje ilhali hajakuwa akishirikihswa katika mechi ya Young Bulls. Omol ambaye klabu yake iko daraja la pili anawarai Young BULLS […]
YANGA YAIOMBA YOUNG BULLS MCHEZAJI WAO Read More »



