BIRINGI SHARKS KUREJEA KWENYE LIGI KWA MASHARTI
Bishop Athony Muema ambaye ni mwenyekiti na mdhamini mkubwa wa klabu ya Biringi Sharks inayoshiriki katika ligi ya kaunti ya Kilifi anasema licha ya tukio la dhulma ya baadhi ya wachezaji kufuja pesa za zawadi za mashindano ya Governors Cup msimu uliopita katika kaunti hiyo msimu huu analenga kusajili wachezaji wengine wapya baadala ya kuachana […]
BIRINGI SHARKS KUREJEA KWENYE LIGI KWA MASHARTI Read More »



