CAF WAPO ZIARANI KENYA
Maafisa wanaowakilisha Shirikisho la Soka Afrika CAF kwa sasa wapo nchini Kenya kwa ajili ya ukaguzi wao wa pili ili kutathmini utayari wa taifa hili kuandaa mashindano ya CHAN mwaka ujao wa 2025. Taarifa zasema kuwa ujumbe wa CAF uliwasili jana a, na kuanza ukaguzi wao katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta […]
CAF WAPO ZIARANI KENYA Read More »



