MOMBASA ALLSTARS YATOKA KWENYE LIGI
Klabu ya Mombasa All Stars huenda isiendelee kushiriki katika ligi ya fkf katika daraja la pili kutokana na mabosi wa timu hiyo kuondoa udhamini wao. Hii ni kutokana na taarifa ambazo zimethibitishwa na baadhi ya wachezaji wa klabu hiyo wanaodai kuwa huenda nafasi ya klabu hiyo ikauzwa kwa klabu ya Wananyuki baada ya mdhamini mkubwa […]
MOMBASA ALLSTARS YATOKA KWENYE LIGI Read More »



