FKF KUSHIRIKIANA CAF NA FIFA
Rais mpya wa fkf Hussein Mohamed amesema kuwa analenga kutumia ofisi yake kuchochea makuzi ya soka katika ukanda huu wa afrika mashariki lakini pia afrika kwa jumla. Akizungumza hiyo jana katika kikao na viongozi wengine wa michezo jijini Nairobi Hussein anasema analenga kufanya kikao na rais wa soka Afrika CAF Patrice Motsepe pamoja na rais […]
FKF KUSHIRIKIANA CAF NA FIFA Read More »



