MAN U YAPONGEZWA KWA ZIRO
Wakenya wanazidi kupongeza usajili wa Emmanuel Ziro katika kikosi cha wachezaji wachanga katika klabu ya Manchester United. Hii ni baada ya mwandishi wa soka maarufu duniani Fabrizio Romano kupachika Picha ya Ziro kwenye ukurasa wake wa Facebook Wakenya wamemiminika kwenye sehemu ya kutoa maoni ya ukurasa huo wakijivunia kinda huyo kwenye umri wa miaka 16 […]
MAN U YAPONGEZWA KWA ZIRO Read More »



