Kitaifa

IDARA YA USALAMA NCHINI YATAKIWA KUHARAKISHA UCHUNGUZI DHIDI YA MAUAJI YA AFISA WA TUME YA IEBC KAUNTI YA KILIFI.

Baadhi ya viongozi wa kisiasa kaunti ya Mombasa wamejitokea kukashifu vikali mauaji ya afisa mkuu wa IEBC kaunti ya Kilifi Aisha Akinyi Abubakar. Wakiongozwa na seneta wa kaunti ya Mombasa Mohamed Fakii na mbunge wa Kisauni Rashid Benzimba, wamesema kuwa sharti uchunguzi wa haraka dhidi ya mauaji hayo ufanyike. Wakizungumza na wanahabari, viongozi hao wamesisitiza […]

IDARA YA USALAMA NCHINI YATAKIWA KUHARAKISHA UCHUNGUZI DHIDI YA MAUAJI YA AFISA WA TUME YA IEBC KAUNTI YA KILIFI. Read More »

KIJANA ALIYETEKWANYA KAUNTI YA EMBU BILLY MUNYIRI APATIKANA AKIWA HAI.

BILLY Munyiri Mwangi, mwanafunzi wa chuo aliyetoweka baada ya kutekwa nyara na wanaume wanne waliovalia barakoa katika mji wa Embu, amepatikana akiwa hai. Kulingana na familia yake, Mwangi, ambaye alionekana kuwa dhaifu, alifika nyumbani Jumatatu asubuhi na kupelekwa hospitalini, kufanyiwa uchunguzi wa kimatibabu. Kijana huyo mwenye umri wa miaka 24, alitekwa na watu ambao bado

KIJANA ALIYETEKWANYA KAUNTI YA EMBU BILLY MUNYIRI APATIKANA AKIWA HAI. Read More »