WAZIRI JUSTINE MUTURI AKOSOA HATUA YA SERIKALI KUU KUDAI HAINA UFAHAMU KUHUSIANA NA WALIOKO VIJANA WALIOTEKWANYARA.
Waziri wa utumishi wa umma nchini Justin Bedan Njoka Muturi, ameisuta serikali ya kitaifa kutokana na ongezeko la idadi ya visa vya vijana wa taifa hili kutekwa nyara na watu wanaoaminika kuwa maafisa wa polisi. Kulingana na waziri Njoka, idadi kubwa ya familia zimeendelea kukabiliwa na hali ya msongo wa mawazo, kutokana na kutoweka wa wanao katika […]



