Kitaifa

NAIBU WA RAIS PROFESA KITHURE KINDIKI AHUDHURIA KUAPISHWA KWA RAIS MTEULE WA TAIFA LA MOZAMBIQUE.

Naibu rais Kithure Kindiki ameondoka humu nchini mapema leo kwenda nchini Mozambique hudhuria kuapishwa kwa rais mteule nchini humo Daniel Francisco Chapo. Naibu wa rais Kindiki anatarajiwa kuwakilisha taifa la Kenya katika hafla hiyo hatua ambayo pia itasaidia kujenga uhusiano wa taifa hili la mataifa mengine ya Afrika. Chapo ameshinda kiti hicho kwa asilimia 65 […]

NAIBU WA RAIS PROFESA KITHURE KINDIKI AHUDHURIA KUAPISHWA KWA RAIS MTEULE WA TAIFA LA MOZAMBIQUE. Read More »

WAZIRI MUTURI AKABILIWA NA TISHIO LA KUBANDULIWA MAMLAKANI NA VIONGOZI WA BUNGE LA KITAIFA.

Baadhi ya wandani wa rais Willima Ruto sasa wanatishia kuwasilisha hoja ya kumbandua waziri wa Utumishi wa Umma Justine Muturi mamlakani kutokana na hatua yake kukashifu suala la utekajinyara linalo endelezwa na maafisa wa polisi nchini. Wakiongozwa na mbunge wa Mugirango Kusini kaunti ya Kisii Silvanus Osoro amesema kuwa waziri Muturi hakupaswa kutoa kauli kuhusiana

WAZIRI MUTURI AKABILIWA NA TISHIO LA KUBANDULIWA MAMLAKANI NA VIONGOZI WA BUNGE LA KITAIFA. Read More »

RAIS WILLIAM RUTO ASISITIZA HAJA YA UMOJA KATI YA VIONGOZI WA KISIASA.

Rais William Ruto amewahakikishia wakenya kuwa ana nia ya kuwaunganisha viongozi na wakenya wote, kutoka matabaka mbali mbali katika taifa hili. Kulingana na Rais Ruto, maendeleo ya taifa la Kenya hayawezi kuafikiwa iwapo, kutakuwa na tofauti za kikabila ama hata mirengo ya kisiasa kati ya wananchi. Akizungumza katika eneo la Dagoreti kaunti ya Nairobi hapo

RAIS WILLIAM RUTO ASISITIZA HAJA YA UMOJA KATI YA VIONGOZI WA KISIASA. Read More »