Kitaifa

RAIS WILLIAM RUTO AONGOZA HAFLA YA KUAPISHWA KWA MAWAZIRI WAPYA.

Rais William Ruto amewataka mawaziri wapya walio apashwa mda mfupi uliopita katika ikulu ya rais kujitenga na visa vya ufisadi na ubadhirifu wa mali ya umma katika utendakazi wao. Kwa mujibu wa rais Ruto, mawaziri hao wanapaswa kuwa kielelezo kwa viongozi wengine kwenye baraza la mawaziri nchini, kwani wamekuwa wakihuidumu katika serikali za awali. Kiongozi […]

RAIS WILLIAM RUTO AONGOZA HAFLA YA KUAPISHWA KWA MAWAZIRI WAPYA. Read More »

WAHANDISI NCHINI KENYA WATAKIWA KUJISAJILI KWA MAMLAKA YA UJENZI NCA.

Wito umetolewa kwa wahandisi wote nchini kujisajili upya katika mamlaka ya ujenzi nchini NCA (National Contruction Authority), ili kupata muongozo hitajika wa ujenzi katika taifa hili. Kwa mujibu wa waziri wa ardhi na ujenzi nchini Alice Wahome, mamlaka hiyo sasa imezundua rasmi kanuni hutajika, katika shughuli za ujenzi na kila mhandisi, anapaswa kufuatilia muongozo huo,

WAHANDISI NCHINI KENYA WATAKIWA KUJISAJILI KWA MAMLAKA YA UJENZI NCA. Read More »

WABUNGE WAENDELEZA VITISHO VYA KUMBANDUA WAZIRI JUSTINE MUTURI MAMLAKANI.

Baadhi ya viongozi wa bunge la kitaifa wamemsuta waziri wa utumishi wa umma nchini Justine Muturi kwa madai ya kuzungumzia masuala ya utekajinyara humu nchini. Kulingana na viongozi hao wakiongozwa na kinara wa wengi kwenye bunge hilo Kimani Ichungwa na kinara wa wachache Junet Mohammed, wamesema kuwa kauli za Muturi zinachangia kuchipuka wa hisia mseto

WABUNGE WAENDELEZA VITISHO VYA KUMBANDUA WAZIRI JUSTINE MUTURI MAMLAKANI. Read More »